Friday, 28 September 2018

Mazoezini Android Application

Mazoezini app inalenga katika kukupa muongozo wa namna ya kufanya mazoezi ya viungo. App hii ina aina mbalimbali za mazoezi utakayotakiwa kufanya kwa kufuata maelekezo yaliyotolewa kitaalamu. Katika kila aina ya zoezi utatakiwa kumaliza kwa muda husika ili uweze kuendelea na zoezi lingine.

Post a Comment